Natafuta kazi, nina shahada ya Development Studies

Natafuta kazi, nina shahada ya Development Studies

Duh pole ndugu umesomea nini ndugu itasaidia zaidi kuwafungua hawa watu. Kama ni mtaalamu wa kilimo nahitaji mtaalamu wa kilimo nifanye naye kazi za kilimo cha umwagiliaji mikoa ya morogoro na pwani
Kaka vipi jamani mm nimesoma agriculture development and rural transformation miongoni kwa course zangu, pia Nina experience kidogo ya shirika la kilimo la Rural livelihood development company, plz nipm tuongee
 
don't worry, utapata tu, kuwa na imani, jitihada zako zitazaa matunda someday, usikate tamaa na punguzA stress, mama yako anakuombea and you have the bright future, believe me
Mkuu asante kwa ushauri nzuri wa kunipa moyo
 
nakushauri ujieleze vya kutosha uweke particulars zote za muhimu angalau uweze kuuzika vizuri ili waajiri wasisumbuke kutambua potential uliyonayo. Punguza pia kulalamika.
Taaluma yako ni potential tosha sana kujiajili,
unafahamu kitu kinachoitwa social entrepreneurship?
Usifikirie sana ajira za kuwekwa kwenye ofisi za watu jaribu kuwa diverse kimawazo kila kitu kitakwenda vizuri tu
but kama umejitosa kwenye ajira fanyia kazi hayo yatakusaidia
Asante mkuu ntaziweka nikikaa na computer thanks jamani
 
punguza kulalamika my, watu tunaenda mwaka wa nne na hakieleweki bt bado tunajua ipo siku.
 
Sasa kama huwezi kujieleza hapa jf,huko kwenye cover letter huwa unaweza kujieleza kweli?
Acha kuwalaumu bure ma Hr.
 
mimi nimesomea BA -project planning Magement&community development.nahtaj japo kuvolunteer tu.mwenye mishe ani PM
 
Je unaweza kazi ya kufundisha?
kama jibu ni ndio.. nambie unaweza kufundisha masomo gani kati ya haya.. civics,kiswahili na geography..
je ulipata div ipi form 6?
nijibu hayo maswali
 
punguza munkali dada n mambo ya kawaida sana kwa kila anayemaliza chuo kupitia mapito unayokutana nayo pia uwez jua Mungu amepanga nn kwa kesho yko cha msing n uvumilivu to
 
Dah aisee me ni mwaka wa 3 nina degree ya public relations and marketing na experience in sales ,customer service and marketing in insurance.radio and telecommunication industry.kwa sasa niko mtaani baada ya kutibu tatizo langu la skio na uvimbe
Mwenye kuhitaji kufanya kazi na mimi nipo na naiman hutajuta kukipata kichwa hiki..
Kwa mwenye maada hapo juu plss mtoa maada uweunajalibu kupanga mfumo mzuri cv yako usilalamike mkuu maisha magumu
 
usimtumainie mwanadamu dada, mtumainie MUNGU ndiye kila kitu, mwenyewe nlipitia hali kama yako ila baada ya miaka 2 mtaani nlifanikiwa.....
 
mimi nina project ya kulima viazi ulaya,sasa alie tayari kuvolunter ilimradi awe na uwezo wa kulipunga jembe la mkono,anakaribishwa sana.malazi na chakula bure.
 
mimi nina project ya kulima viazi ulaya,sasa alie tayari kuvolunter ilimradi awe na uwezo wa kulipunga jembe la mkono,anakaribishwa sana.malazi na chakula bure.

Mkuu tuwasiliane nije nilime nipate uzoefu wa kuanzisha shamba langu,au nikilima kwa muda fulani uniachie Ekari moja
 
Sasa strong woman mbona una stress nyingi? umesomea maswala ya development hivi katika kozi ulizokua unasoma haujaweza kugundua hata sehemu moja yenye gap? ili utumie huo utaalamu uliona na hilo gap kama advantage...maana dunia sasa hivi imebadilika kwanza kabla haujabebwa inabidi uwe unabebeka maana uweze kujua kujieleza vizuri kw3nye barua na pia kuangalia mambo mengine maana ajira zinaugumu wake
 
There are unlimited opportunities.Your thought will determine your future.Acha uoga wa maisha,pambana kwa namna yoyote kwa kuajiliwa au kujiajili ilimradi unga uingie ndani.
 
mimi nina project ya kulima viazi ulaya,sasa alie tayari kuvolunter ilimradi awe na uwezo wa kulipunga jembe la mkono,anakaribishwa sana.malazi na chakula bure.

Mkuu unaleta utan kwenye mambo ya Msingi sasa
 
mimi nina project ya kulima viazi ulaya,sasa alie tayari kuvolunter ilimradi awe na uwezo wa kulipunga jembe la mkono,anakaribishwa sana.malazi na chakula bure.

Nimejikuta nacheka tu, yaani ww ndo unapishana na "gari la warembo"
 
Back
Top Bottom