Natafuta kazi nina MSc ya Finance & Accounting from Mzumbe University...

ana masterz af hana kazi huyo ndo anajidai anapenda sana shule bila kuangalia anasoma ili iweje
 
wana jf hope wote muu wazima, nimepewa hili ombi na ndugu yangu amemaliza chuo majuzi hapa sasa anatafuta kazi yeye ame specialize kwenye msc finance & accounting. Anaomba msaada popote aweze pata kazi. Namba yake ni 0786 302889 au 0754 302889. Nawakilisha shukrani zake za dhati. Asanteni wakuu wa jf.

yuko over qualified namshauri atafute kazi ya kufundisha kama ana gpa ya 4.0 nadhani akawe recturer vyuo viko vingi atapata kwenye ajira atatusumbua huyu ataanza kudai mshahara kama wa ceo wakati hana experience huku hatuangalii gpa kama zake huku tunaangalia wafanyakazi wanyenyekevu ambao ni marginalized ndo wanadumu katika ajira maana they have fewer choices of living.
 
halafu wew jinga kweli,Kazi unatafuta mwenyewe etii ooooooooooooooooh ndugu yangu ndugu yako wapi??sema vizuri bana sio unazunguka hapa
 
alienda masterz akitokea kazini?? au ndo alipandisha mabega na kuacha kazi ili akasome, kama jib ni yes(alikosa uwezo wa kufikiria au ushauri,)

Hata hivo kwa upande mwingine nadhan mtoa maada analendo la kutaka kujua watu wanafikiria nini Kuhusu Masters degree za Mzumbe university.(mpaka sasa amefanikiwa)

This is very interesting. najua mzumbe masters zao ni miezi 12 unagraduate.

Namuombea mungu apate kazi.
 
Mbona hujatuwekea uzoefu wake mkuu??
Wana JF hope wote muu wazima, nimepewa hili ombi na ndugu yangu amemaliza chuo majuzi hapa sasa anatafuta kazi yeye ame specialize kwenye MSc Finance & accounting. anaomba msaada popote aweze pata kazi. namba yake ni 0786 302889 au 0754 302889. nawakilisha shukrani zake za dhati. Asanteni wakuu wa JF.
 
Mkuu tete 'a' tete.

Mkuu nadhani huyo jamaa yako ana MBA Fin & Acctg kama kamaliza Mzumbe.Mwambie afanye mitihani ya NBAA itamsaidia zaidi.Kama mshiko hana si vibaya akianzisha madarasa ya jioni kuna wanafunzi kibao wa NBAA,NBMM na Open university.

Wana JF hope wote muu wazima, nimepewa hili ombi na ndugu yangu amemaliza chuo majuzi hapa sasa anatafuta kazi yeye ame specialize kwenye MSc Finance & accounting. anaomba msaada popote aweze pata kazi. namba yake ni 0786 302889 au 0754 302889. nawakilisha shukrani zake za dhati. Asanteni wakuu wa JF.
 
Asanten sana kwa ushauri wenu naomba nijibu maswali yenu kama ifuatavyo.

Yupo kazini na amesoma akiwa kazini hivyo baada ya kumaliza hii elimu yake anatafuta kazi yenye matunda mazuri zaidi.

Pili sio kwamba alisoma kuunga unga ila nadhani mtu yeyote hapa ikitokea amepewa fund kwa ajili ya elimu ni kitu muhimu sana kwenye maisha yake soo nayo kupata Master ni jambo kubwa zaidi.

Kuhusu NBAA nimewaambie alishajiunga na anatarajia kuingia session ijayo if I'm not mistaken will start next year Jan 11.

hata hivyo ana mpango wa kujiunga na MSc ECONOMICS AND FINANCE FOR DEVELOPMENT
FOR 2011/2012 ACADEMIC YEAR inayotolewa na University of Bradford through Mzumbe University Dar...huyu jamaa anapenda shule sana...

Thanks all mabroodaaaaaaaz and Sistaaaz wa humu JF.
 
Suala la kumaliza first degree na kwenda kufanya masters ni jambo jema na hasa ukizingatia kwamba tunawahimiza watu wasome. Lakini pia kutafuta kazi baada ya Masters degree kwa wakati huu wa sasa ni kitu cha kawaida sana kwa wahitimu wa vyuo vyetu hapa TZ ikiwai ni pamoja na UDSM, IFM, UDOM, SAUT, MZUMBE, SUA nk. Lakin hata kama mtu akasoma nje ya nchii katika vyuo vizuri vyenye hadhi, atarudi na kutafuta kazi na wakati akiwa anatafuta kazi anakuwa hana kazi. Kwa hiyo mimi sioni kitu cha ajabu hapo kana kwamba employability yake ipo at risk eti kwa kuwa kasoma Mzumbe. Na hiyo ndo hali halisi ya soko la ajira Tanzania ambalo ni very saturated. Suala hili linajadiliwa kwa mtazamo ambao una makengeza fulani, kwa hiyo inafaa kubadili mtazamo na kuwa positivu zaidi.

Kwa kuwa amepata masters hebu ajaribu nafasi za Benk Kuu kwa linki hii http://www.bot.go.tz/Adverts/JobAdverts/FIN_ ANALYST_26-8-11.pdf
 
Kipilime thanks in advance mkuu...kwa kweli kama ningeambiwa nimchangue katibu mkuu wa kushika nafasi ya J nadhani kura yangu ingekuangukia wewe why? unajua kuna watu wamekuja na mashambulizi yao hapa ambayo hayana Tija kabisa yaani kuna watu akili zao ni finyu sana kwani sioni sababu ya mtu kumaliza masters na kutafuta kazi...ni wangapi wanaunga elimu zao na hii inatokana na kwamba mifuko ya wazazi au ndugu imejaa ndio maana wanakuwa na uwezo wa kuwalipia unajua sisi watanzania tumezoea kuwa masters tusome eti tukishapata kazi ili tujilipie wenyewe si kweli hivi hawajasikia kuna bint mmoja wa TZ alipata PHD huko SA akiwa na 26yrs tuache uchamba again thanks in Advance brodaaa kipilime
 
Niandikie in private sifa za huyu candidate. Specialisation/GPA at undergraduate pamoja na postgraduate,
 
Asanten sana kwa ushauri wenu naomba nijibu maswali yenu kama ifuatavyo.

Yupo kazini na amesoma akiwa kazini hivyo baada ya kumaliza hii elimu yake anatafuta kazi yenye matunda mazuri zaidi.

Pili sio kwamba alisoma kuunga unga ila nadhani mtu yeyote hapa ikitokea amepewa fund kwa ajili ya elimu ni kitu muhimu sana kwenye maisha yake soo nayo kupata Master ni jambo kubwa zaidi.

Kuhusu NBAA nimewaambie alishajiunga na anatarajia kuingia session ijayo if I'm not mistaken will start next year Jan 11.

hata hivyo ana mpango wa kujiunga na MSc ECONOMICS AND FINANCE FOR DEVELOPMENT
FOR 2011/2012 ACADEMIC YEAR inayotolewa na University of Bradford through Mzumbe University Dar...huyu jamaa anapenda shule sana...

Thanks all mabrroodaaaaaaaz and Sistaaaz wa humu JF.

Mkuu, hebu pay attention hapo kwenye red!!! Kama ulizani unamnadi vyema ndugu yako, kwa mtazamo wangu nahisi unam-let down---kwamba una-limit chance ya kupata hiyo kazi!!! Ni mwajiri gani siku hizi atataka kumchukua mtu ambae anajua yupo mbioni kurudi chuoni?! Hata kama itakuwa ni evening program, bado itamlazimisha kuiba muda wa mwajiri kwa ajili ya shule yake. By the way, mwajiri mkubwa hivi sasa ni sekta binafsi ambazo nyingi zake kwa kozi hiyo anayotarajia kusoma ni nothing kwao! My take ni kwamba hiyo anayotarajia kuchukua imekaa kiserikali serikali zaidi, na mwajiri mwenye focus hatakosa kubaini kwamba hata akimuajiri basi sooner or later jamaa atakimbilia serikalini!!!!! am afraid ndugu yako ana-dream kufanya kazi ama Hazina au BOT!!! In addition, hii dunia maisha ni mafupi mno, aachane na mambo ya Horizontal expansionism ( MSc. Fin & Acc, na sasa MSc. Econ & Fin.) Haya mambo yanafanywa na watu ambao tayari wamesha-settle kimaisha, ndipo unaweza kuchukua hata Masterz mia tofauti tofauti!!!
 
Back
Top Bottom