Natafuta kazi: Nina Leseni Class C ya udereva

Natafuta kazi: Nina Leseni Class C ya udereva

R-one

Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
85
Reaction score
26
Habari zenu wana JF.

Nina leseni class C kutoka National Institute of Transport (NIT), naombeni msaada wenu hata wa mawazo kwani natafuta ajira ya Udereva, kwa anayefahamu sehemu ambayo naweza peleka Cv yangu kwa nafasi hiyo ya udereva anijulishe kwani maisha magumu ndugu zangu. .

Asanten sana.
 
Pelleka zimamoto wanaendelea na mchakato wa ajita
 
Ndugu wahi peleka TBS, wanatafuta madereva km wewe,ila sina hakika sana na kigezo cha elimu dunia, maana pamoja na taaluma wanahitaji walau uwe umehitimu kidato cha nne
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom