Natafuta kazi, nina Diploma ya Utawala

Natafuta kazi, nina Diploma ya Utawala

mbonimpaa

Member
Joined
Jan 29, 2014
Posts
25
Reaction score
6
hello dears. Habari zenu. natafuta kazi nina DIPLOMA IN LOCAL GOVERNMENT ADMINSTRATION . Asante
 
hello dears. Habari zenu. natafuta kazi nina DIPLOMA IN LOCAL GOVERNMENT ADMINSTRATION . Asante

fuatilia kwn magazeti halmashauri zinatangaza sana nafas za watendaj wa vijiji. unaqualify kabisaaa. ukishaingia huko unajiendeleza hadi unakuja kuwa afisa utumishi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom