Natafuta kazi, nina Diploma ya Records Management

ivaiva

Member
Joined
Sep 2, 2015
Posts
19
Reaction score
6
Habari wana jf! Natafuta kazi ya Records and archive management assistance nina diploma ya records.
 
Naziona sana sema wanataka wa certificate na sio dioloma
 
Wewe dogo una matatizo ya akili, kazi kibao za diploma za records kuliko wa cheti wewe unasema nini, hata kama ni wa cheti kwa nn usiombee vheti ulichonacho kisha ukifika huko unnawambia pia una added advantage ya diploma. Acha ujinga
 
Kwan ni wote wenye diploma wameanzia certificate?? uache ujinga wewe kama huwezi kusaidia pita👉👉👉👉👉👉👉sio lazma kila thread uchangie
 
Kwa haya majibu, hata kama kuna nafasi mahali ni vigumu mtu kuvutika kukuunganishia!
 
Mtu anajibu kulingana na post ya mtu ina maana mpka mtu anasema humu ujue yashafika shingon hebu pitia ya huyo unknown ingekuwa ww ungemjibu nn
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom