Natafuta kazi, nina Diploma ya Journalism

Natafuta kazi, nina Diploma ya Journalism

Lksn

Member
Joined
May 25, 2015
Posts
9
Reaction score
1
Habari zenu wana JF
Mimi ni msichana age 23.Nina certificate ya journalism
Natafuta kazi yeyote ile..nipo tayari kufanya kazi popote

Asanteni
 
Habari zenu wana JF
Mimi ni msichana age 23.Nina certificate ya journalism
Natafuta kazi yeyote ile..nipo tayari kufanya kazi popote

Asanteni

Je unaweza kufanya TV programs?,
Upo presentable na creative?

Tunahitaji mtu committed to join our Media production team.

Nchek inbox au 0789-300010
 
Habari zenu...... Mimi ni kijana mwenye Diploma ya Journalism na Advanced certificate. Natafuta kazi kwenye media yoyote ile iwe Dar au Mkoa, Age 24, Male, experince mwaka nanusu.
Contact 0621 65 59 49
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom