Natafuta kazi nimesoma IT

Natafuta kazi nimesoma IT

Tanzania imefikia sehemu kwamba unamjua nani kwenye shirika husika na si wewe unajua au kufahamu nini. Undugu kwanza mengine baadae.
 
Micky1989 mwanzo mgumu, jaribu kuanza kwa kuvolunteer katika mashirika binafsi au taasisi za kiserikali.

Siku hizi kwenye ajira, mbali na cheti chako, inabidi uwe na: experience na ujuane na watu.

Sasa, ukivolunteer, utapata uzoefu na utaongeza channels za kujuana na watu.

Kama mdau alivyosema hapo juu, kama uchumi na mazingira yanaruhusu, ongeza elimu mkali. All the Best.
 
Last edited by a moderator:
Micky1989, mdogo wangu computer ni kitu kikubwa sana, yaani kuna utalaamu mwingi sana. So, you should be very specific na area yako ya kujidai mdogo wangu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom