Natafuta kazi, niko Dar Es Salaam

Natafuta kazi, niko Dar Es Salaam

Alafu ukiwa unatafuta kazi usiseme huna ujuzi wowote.

Kazi ambazo ziko na zinapatikaa kwa wingi ni za Sales.
Sasa uwe unasema kuwa unaweza kufanya sales and marketing.

Wakikuuliza sales zipi au wapi utasema kuwa ushawah kuuza Duka (liwe la Mangi, nguo au vipodozi), au ushawah kufanya kazi za uwakala na miamala ya simu, nk.

Kwahiyo jifunze na jifanyie mazoezi eneo hilo.

Lakini usiseme Huna ujuzi wowote.
sawa mdogo wangu?. barbieloree

Asante kaka nimekuelewa
 
Ndio lakini sio ya ulinzi me wa kike na 24 sijawahi pita hata mgambo nawezaje kulinda hizo mali za watu kiasi hicho
Njoo kijijini huku tulime. Huko mjini unapoteza tu muda. Ukikubali kuja nitakununulia jembe jipya la kulimia na mahitaji mengine ya kuanzia maisha.
 
Mtu yeyote anayejitambua ukishamwambia kazi yoyote hawezi poteza muda kukupa kazi. Kwa sababu ni wazi Utampotezea muda wake.

Hapo utaulizwa ulinzi, utasema hapana. Atakuuliza mwingine Kutembeza bidhaa, utasema hapana. Kiufupi hakuna atakayekupa kazi anayejua watu wa aina hii
 
Back
Top Bottom