itscowboy98
JF-Expert Member
- Dec 9, 2025
- 670
- 1,034
Usijari mkuu tupo pamojaAhsante, kwa data Mkuu
Usijari mkuu tupo pamojaAhsante, kwa data Mkuu
Huku angelima mazao ya biashara kama ufuta mimi ndio nadeal nao pia ningempa mwanga na kumuongoza apate eneo awekeze kwavile kijana ukikomaa kama Kweli mtafutaji inshallah angejikwamua lakini sijaeleweka.
Kuwa makini, watajitokeza wengine hata wao hawana kazi wajifanye wana connection lengo wakutafuneNdio lakini sio ya ulinzi me wa kike na 24 sijawahi pita hata mgambo nawezaje kulinda hizo mali za watu kiasi hicho
SawaSijaomba kazi kwa sababu sitaki kufanya kazi au nimezoea kukaa. Kama ningekuwa na uwezo wa kifedha, nisingekuwa napost kuomba kazi. Kuhusu kulima, si jambo la kusema tu “enda ukalime.” Lazima nikodi shamba, ninunue au nipate vifaa vya kilimo, nitafute sehemu ya kuishi, na kwa sasa eneo hilo ni ugenini kwangu. Hivyo siwezi kuamka leo nikaanza kulima bila maandalizi na mtaji. Ndio maana natafuta kazi kwanza ili nipate kipato na niweze kujisimamia. Kama una nafasi ya kazi au una njia ya kunisaidia kupata kazi, nitashukuru sana. Lakini kunielekeza nilime bila kuangalia mazingira yangu hakutatatua tatizo nililonalo.
Ni kweli ana uhitaji ila hajui anataka nini.Watu wa aina hii wapo kwaajili ya kupoteza muda wa watu wengine.
🤣🤣🙌Ni kweli ana uhitaji ila hajui anataka nini.
Usicheke mkuu, ni huzuni hii.
👊Kuna kazi ya kutembeza kahawa maeneo ya stendi, kwa mwezi unalipwa laki 5
Kila kazi haimfai akipata inayomfaa atasemaUsicheke mkuu, ni huzuni hii.
Ni stage mbaya, mwisho wa siku utasema ni kheri ningeenda kule kwenye ulinzi au kilimo nilikosema siwezi ila muda huo hiyo nafasi haitokuwepo.
Nimekuelewa mkuu umeongea point kweli.Mtu yeyote anayejitambua ukishamwambia kazi yoyote hawezi poteza muda kukupa kazi. Kwa sababu ni wazi Utampotezea muda wake.
Hapo utaulizwa ulinzi, utasema hapana. Atakuuliza mwingine Kutembeza bidhaa, utasema hapana. Kiufupi hakuna atakayekupa kazi anayejua watu wa aina hii