B balongo Member Feb 15, 2012 10 0 Mar 24, 2012 #1 Jamani wana JF natafuta kazi kwenye kampuni yoyote ila sihitaji mgodini. Nimemaliza UDSM 2007 nina experience ya miaka mitatu.
Jamani wana JF natafuta kazi kwenye kampuni yoyote ila sihitaji mgodini. Nimemaliza UDSM 2007 nina experience ya miaka mitatu.
Perry JF-Expert Member Feb 24, 2011 10,043 2,000 Mar 24, 2012 #2 Sasa kama hutaki kwenda migodin,hayo madin utayapatia wapi mkuu?acha utozi,mcoet gani wewe!