golden goose
Member
- Sep 15, 2022
- 18
- 21
Mkuu hawaitaji mafundiSijajua bado maana ata mm pia nilipewa tu taarifa labda nikutumie no za HR wao uchonge nae
Mkuu hawaitaji mafundiSijajua bado maana ata mm pia nilipewa tu taarifa labda nikutumie no za HR wao uchonge nae
Nitumie na mm no ya hrSijajua bado maana ata mm pia nilipewa tu taarifa labda nikutumie no za HR wao uchonge nae
Mkuu ulishapata mishe?Habari ndugu zangu,
Mimi ni kijana wakitanzania naishi Kanda ya ziwa,natafuta kazi maeneo ya mgodini,elimi yangu ni chuo kikuu. Nina uzoefu na kazi hii kwa miaka miwili.
Naweza fanya kazi kama mkemia au operator, umri wangu miaka 27