Natafuta kazi mgodini Geita

Natafuta kazi mgodini Geita

Mkemia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tatizo lenu wakemia hamuaminiki kuna mmoja alipewa nchi fulani akapuyanga hatari.
 
🤣🤣🤣
 
Mkuu mbona waingiza mambo ya kike kwenye mishe za wanaume?
 
Opundo, utapata kama unaweza kushka sululu. Uwe na nguvu tu na akili kiasi, hata wenye akili tmamu bangi, pombe kali na umalaya vimeumaliza.
Karibu lwamugasa, imwelo, msasa, tembo, magenge na sopola.
mkuu habari, sijawahi fika chimbo lolote,mwez wa 5 nlikuw na mpango niende nikakae hata miez 6 au 7,ntaenda kufanya mishemishe kama sina mtaji ivi (nna kama m1 ntaiweka bank),nikishakuwa mzoefu naomba uniambie nikiwa na m1 ntafanya arakat gan pale mfano,kununua mchanga,kununua dhahabu na kwenda kuuza,nk

naomba mwanga mkuu
 
,kwenye madini hatuendi na mtaji,unaupata huku huku,anyway iyo Hela iachee banki,Nenda site tafuta kazi ya kibarua,utaipata exposure na uelewa mkubwa huku ulipwa Hela ya kujikimu,ukiona umeiva ndo Anza kununa vifusi au mawe hapo ndo utafanikiwa, experience matter here
 
shukran sana mkuu naendelea kujifunza
 
All the best....karibu sana kwenye fani ya uchenjuaji...
Ushauri: ukipata pesa na nafasi jiendeleze walau uwe na Diploma ya mineral processing ili upate uelewa mpana zaidi juu ya uchenjuaji,ukijumlisha na hio experience ulio nayo utakua superb sana
 
nashukuru mkuu,nikipata pesa nitarudi shule ili nisisome kwa stres
 
Huu uzi kuna mlejesho wowote hapa?
Ule mgodi wa sengerema tayari ushaanza kufanya kazi??
 
Back
Top Bottom