Natengeneza ac (air conditioner) , magari ufundi na mashine zingine zingineMkuu ungefafanua zaidi katika taaluma yako nini unaweza kufanya , je ni mtambo gani haswa unaweza kuwa vizuri nao na mtambo upi bado unapelea waajiri wapo humu Ila namna unavyotoa tangazo ni changamoto sana
Njoo inboxNatengeneza ac (air conditioner) , magari ufundi na mashine zingine zingine