Natafuta kazi kiwandani

Natafuta kazi kiwandani

spea mkononi

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2015
Posts
348
Reaction score
330
Habari za leo ndugu zangu hope mko fine.

Poleni na mihangaiko iliyo na changamoto ya kuhakikisha mnapata daily bread.

Niko hapa leo kuomba msaada kwa yeyote yule mwenye kujua ni kiwanda kipi jijini arusha kinachopokea kibarua naomba anifahamishe.

Asanteni sana.

Jah bless
 
Zunguka zunguka viwanda vilivyo karibu na unapoishi uliza watu wa maeneo hayo wakupe muongozo
.
 
Back
Top Bottom