Natafuta Kazi/Kibarua. Nina shahada ya Statistics

Introvert100

Member
Joined
Jun 10, 2022
Posts
8
Reaction score
9
Wasalaam bodi ya JF,

Mimi ni kijana Mtanzania, ki umri niko kwenye 40s, tangu nimalize bachelor ya Statistics 2009- Mzumbe University, nimebakia kuwa Mwalimu(siyo rasmi)wa Hisabati katika Tuition Centres na Private Schools kadhaa. Mpaka sasa,(no brag), nimekuwa Master wa Secondary Math's(Contents and an Exceptional Delivering).

Ajira Portal na Mtaani pote ni pakavu, umri/miaka inasonga na "sina" maisha.
Nawasilisha Wakuu.
Asante.

Mr. Hebron Adam Mwaseba.
0682 893 477
Dsm.
 
Pole sana mkuu .Ulikosa ushauri tu ulitakiwa kusoma Postgraduate diploma in Education evening program ,pale udsm ,duce au popote maana uko Dsm .Ungeweza kuingia ktk serikali kirahisi sana.Lakini bado hujachelewa anza mdogo mdogo mwaka mmoja tu unamaliza afu unaomba govt ..upungufu ni mkubwa sana.Lakini huko serikalini wanawez kukutumia kama mtakwimu nafasi ikitokea maana tayari utakuwa ndani ya serikali
 
Asante kwa ushauri kiongozi, let me re collect myself.
Peace.
 
Back
Top Bottom