Habari Ndugu Zangu Wana JF,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28 ninayepatikana mkoa wa Dar es Salaam.
Nilihitimu masomo yangu katika ngazi ya Shahada ya uzamili katika Hisabati (Master's degree in Mathematics) katika chuo xx.
Nina uzoefu katika maeneo mbalimbali kama ifuatavyo:
i.) kufundisha Basic & Advanced Mathematics shule mbalimbali apa nchini.
ii.) Data Collection and Analysis (By using R).
iii.) Writing Scientific reports.
Pia nina ujuzi wa kutumia Latex na programming with python.
Mapendeleo:
i.) Napendelea kufanya kazi vyuoni & coleges kama Assistant Lecturer of Mathematics (Naweza kufundisha Course yoyote ya Hisabati).
ii.) Napenda kufanya kazi ya utafiti (Data Collection, Data Analysis and report writing).
iii.) Pia napendelea kufundisha Basic and Advanced Mathematics
Asanteni Sana.