Natafuta kazi nina shahada ya Sanaa ya Ubunifu

Eddah hezron

New Member
Nov 22, 2021
2
5
Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 22 ,nimehitimu masomo yangu ya chuo kikuu ngazi ya shahada ya Sana'a na ubunifu yaani(bachelor of arts in art and design) ambayo imebeba mambo kama,

FASHION DESIGN
PHOTOGRAPHY
JEWERLIES

Kama ntaweza kupata kazi yoyote ya halali kwa sasa hata kama ni nje ya taaluma yangu nitafanya kwa ukamirifu ili kujikimu mahitaji yangu nitashukuru sana .
Pia ni mtaalamu wa mambo yafuatayo

USUSI

0626932837
0782743528
ASANTENI SANA
 
IMG_7519.jpg
 
Hii kozi huwezi lala njaa
 
Umri mdogo,kozi nzuri,nahisi na wewe ni mzuri ndani na nje.Aina yako ya fani ina fursa nyingi sana endapo tu nchi yetu ingeheshimu utaalamu na ingekuwa na uchumi wa kisasa.Ila kwa sababu uchumi wetu sio wa kisasa inabidi ujiongeze sana.

Kwa kuanza Je kwa sasa uko wapi?na pembeni ya hio digrii una nini cha kipekee ambacho watu.mtu anaweza kukulipa ili ukifanye?.Jibu lako litaweza kuwa ni mwanzo mpya kwako.
 
Mbali na degree Mimi ni msusi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom