Natafuta kazi dar

Shindwa pepo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hata mimi mwanzoni nilikua nasema hvo hivo.
Ila leo kipo wapi napiga dry cuca 😁😁😁😁😁😁
 
Hata mimi mwanzoni nilikua nasema hvo hivo.
Ila leo kipo wapi napiga dry cuca 😁😁😁😁😁😁
kwa umri nlonao ningeshaanza kitambo sana 😁😁😁😁
 
MsisitizoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Pepo hawakemei hivo..
Upo mbali hivo pepo litatoka kweli...

Njo nishike kuchwa nikemeee mpka litoke 😁😁😁😁
 
Umesahau kulog in kwenye account uliyoanzishia uzi

Aisee! Mtu mmoja una id ya kike na ya kiume?πŸ˜₯
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Nimeamini aisee!
Nilikua nasikia tu humu mtu ana id ya kike na ya kiume ni hatari sana
Nikishaonaga mwanaume anatumia ID au avatar ya kike huwa naliona kama LISHOGA fulani hv
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…