Natafuta kazi Dar, nina Diploma ya Procurement

Natafuta kazi Dar, nina Diploma ya Procurement

Unapoomba jaribu kutumia neno "tafadhali" na unapotaka kutoa hoja yako labda ya kutokubaliana na kauli ya mtu jaribu kuanza na "Nadhani" ili usionekane mjuaji. Anyway kwawew baki tu mwanza mdogo wangu.
Aisee, Asante sana ,Kuna kitu kikubwa mno nimejifunza juu ya comment yako hii, hata katika maisha ya Kawaida sio jf tuu ,nashukuru mkuu
 
  • Thanks
Reactions: hnp
Back
Top Bottom