Natafuta kazi Dar, nina Diploma ya Procurement

Usihangaike mdogo wang dar ajira zipo km mwanza pia lkn akili yako in no doubts unawaza dar zaidi kuliko kazi huenda kuna jamaa yako kakupa fake informations pole. Nipo mza apaapa buswelu ukipita kwa msukuma km unaelekea bujingwa kwny nyumba za NHC ni jirani sana na igoma ata bodaboda 1500 anakufikisha be open, acha fake dreams za kuzamia ughaibuni kwa ajili ya kurahisisha uzuri wa maisha, igoma penyewe fursa kibao ukianza movement ya kutoka hapo hadi buzuruga utakua umevuka fursa zaidi ya 100 zinazoangukia kwny hiyo category uliyoisema, KARIBU SANA TUKUSAIDIE MDOGO WANGU
 
Asante ila ungejaribu kuorodhesha baadhi ya hizo fursa ili kunip mwanga
 
Hee jnm kwahiyo ningetuma viimoji vya kulia au? M nmeandika kwa uhalisia Sasa sjui unataka nisemeje duh wabongo jmn mmh
Mara nyingi wenye huo moyo wa kusaidia wanakuwaga makini na watu wanaohitaji kuwasaidia.
Kwahiyo unapojibu kwenye thread yako ya kuomba msaada jaribu kujibu kwa hekima ikibidi unajishusha na kuficha tabia yako halisi.
Tayari unaonyesha una kakiburi na pia sio mvumilivu.
Sasa humu kuna watu wana hela hazina kazi..utasafirishwa kwa nauli yake hadi dar,utawekwa hoteli wakati unasubiri intavyuu feki.
Sasa basi...utapewa huduma na care , na matumaini mengi ikiwepo kukuhamisha hapo hoteli na kukutafutia chumba cha kuanzia maisha wakati unasubiri kusaini mkataba feki.
Kwa hisani hizo huwezi kuchomoa ,utaliwa papuchi " kweri kweri".
Ukishachakaa unaachwa kwenye mataa unahangaika.
Maisha ya sasa ni magumu nchi nzima kama wadau walivyosema huko juu.
Watu wana uzoefu ,wengine wana 40+ wanaburuzana na jiji .
Wameshuhudia sarakasi nyingi.
Mi nakushauri uanzie kupambana hapohapo mwanza kwanza.ukishakuwa na uelekeo fulani ndio uje huku dar.
 
Well said mkuu👏👏
Zama sasa zimebadilika, watu sio wa kuwaamini kirahisi.
 
Umemaliza kila kitu mkuu
 
Asante kwa maoni yako, lakini kama umenifatilia ,hakuna sehemu hata moja niliyojibu dharau wala kutoa tusi , sijui maana ya baadhi yenu kusema ninakiburi , ndy maana najiuliza kwa sauti kwani ningetumia muandiko gani kuwasilisha haya?

Nmesema kwa kujiamini kwa kile ninachokiomba kwa watanzania wenzangu ,ila comment zinatoka ninakiburi, lkn hata pia ningesemaje , Kuna baadhi ya watu wangenidefine tofauti.
Anyway Asante kwa ushauri wako ndg
 
Bora ubaki huko Mwanza hata kama unasema ukija huku utafanya kazi pia . Omba Mungu akufungulie fursa au kazi upate .
 
Asante kwa maoni yako, lakini kama umenifatilia ,hakuna sehemu hata moja niliyojibu dharau wala kutoa tusi , sijui maana ya baadhi yenu kusema ninakiburi , ndy maana najiuliza kwa sauti kwani ningetumia muandiko gani kuwasilisha haya?

Nmesema kwa kujiamini kwa kile ninachokiomba kwa watanzania wenzangu ,ila comment zinatoka ninakiburi, lkn hata pia ningesemaje , Kuna baadhi ya watu wangenidefine tofauti.
Anyway Asante kwa ushauri wako ndg
Majibu yako yanaonyesha una kibuli
 
Unapoomba jaribu kutumia neno "tafadhali" na unapotaka kutoa hoja yako labda ya kutokubaliana na kauli ya mtu jaribu kuanza na "Nadhani" ili usionekane mjuaji. Anyway kwawew baki tu mwanza mdogo wangu.
 
Nadhani nimekuelew
 
Back
Top Bottom