Natafuta kazi bank teller

Natafuta kazi bank teller

nyani jike

Senior Member
Joined
Feb 23, 2016
Posts
176
Reaction score
223
Wadau natafuta kazi crdb bank teller kwa diploma yangu ya sociology naweza kupata?nataka kwa hapa dar maana namalizia bachelor yangu mwakani.bank nyingine nilizofikia ni FNB,NMB.msaada ushauri napokea
 
Yaani unatafuta kazi kama unataka kununua gari unafikiria kazi zinatafutwa hivyo ndugu yaana aina ya kazi Na cheo chake Na shirika usika labda rushwa iusike lakini hivi hivi sijui
 
Nenda na your supportive documents waelezee shidaako unaweza ukapata kama wana uhitaji wa MTU katika kitengo ulichoomba,
 
kuna kazi hiyo 😉 NBC hautaki??????🙁
 
Wadau natafuta kazi crdb bank teller kwa diploma yangu ya sociology naweza kupata?nataka kwa hapa dar maana namalizia bachelor yangu mwakani.bank nyingine nilizofikia ni FNB,NMB.msaada ushauri napokea
Ongea na Adam Ngeni wa crdb anaweza kukusaidia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom