Natafuta kazi Auditing Firm

Natafuta kazi Auditing Firm

Kuwa na cpa sio kigezo sikuiz wapo graduate wa cpa wengi tu wanavoluntee wengine crdb

Tatizo nchi yetu haieshimu professional kazi ambazo wanatakiwa wafanye professional hata ambaye sio professional anafanya ili mradi mtoto wa mjomba.Mimi wakati nafanya module E nimesoma na chief accountant wa wizara mbili wanawake wanakuwa wahasibu wakuu wa wizara lakini sio professional kibaya zaidi wahasibu wa chini yao wana CPA
 
dah! yaani umenikatisha tamaa coz nipo kwenye plan kupiga nbaa next year so kuwa na magamba ya nbaa sio njia ya mkato ya kutembea na bahasha kila ofisi?
 
Sio CPA tu ata acca ukiipata tu bila work experience sio kiashiria kwamba unapata kaz moja kwa moja...mtu awez kukuajir na cpa yako akulipe ghali while u have no experience at all... Apo ndio swala la kuvolunteer kweny firms linapokuja..at least wale ni waelewa they will be willing to teach compared to other institutions ambako unakuta hata senior accountant Hana cpa ... Once u have experience plus ur cpa there will be no one like u in the job market yan kila ukiaply unapata.. That's how it is!!
 
Inategemea umemaliza chuo gani, kama ni sauti, tumaini au kiu ni ngumu kidogo kupata kazi. Inabidi ufanye masters udsm kupolish cheti chako mkuu.
 
Nimemaliza IFM
 
mh! mkuu tumaini kuna nini tena mbona unatutisha coz nipo tumaini pia?!!!
 
asilimia kubwa ya wanaoponda CPA ni wale ambao hawana. Hujiulizi kwanini Kuna wazee wengi unakuta mnapiga nao mtihani na wengine wamefanya zaidi ya mara 5. CPA in deal sana hasa ukikutana na Makampuni yanayoithamini kama auditing firm na Makampuni ya wazungu.
SOko la ajira limeingiliwa na kujuana na Mtu anaogopa mtu mwenye CPA maana wakikaa nae kidogo anaweza kuwakimbia.
Firm zipo zaidi ya 150,fanya mpango kipindi cha high season uende chache lazima utapata.
 
Inategemea umemaliza chuo gani, kama ni sauti, tumaini au kiu ni ngumu kidogo kupata kazi. Inabidi ufanye masters udsm kupolish cheti chako mkuu.
mambo ya vyuo ilikuwa zamani chief. Mimi mwenyewe nimesoma UDSM but siku hizi wanapima kujieleza
 
Tatizo nchi yetu haieshimu professional kazi ambazo wanatakiwa wafanye professional hata ambaye sio professional anafanya ili mradi mtoto wa mjomba.Mimi wakati nafanya module E nimesoma na chief accountant wa wizara mbili wanawake wanakuwa wahasibu wakuu wa wizara lakini sio professional kibaya zaidi wahasibu wa chini yao wana CPA

em nikuambie wazi,hakuna anedharau profession yako,work experience ni MUHIMU SANA...em piga picha ndo umetoka chuo sawa cpa unayo utapewaje cheo au any decision making authority wakati hujui hata kuandika voucher???wala kufanya chochote kwa utaratibu wa ofisi uliyopo?...u need a starting point,lazma wakufundishe kwanza kazi..
Volunteer mahali,ukiwa mchapakazi uta-shine tuuu hata uwe wapi
 
dah! yaani umenikatisha tamaa coz nipo kwenye plan kupiga nbaa next year so kuwa na magamba ya nbaa sio njia ya mkato ya kutembea na bahasha kila ofisi?

endelea na ur plans usikatishwe tamaa kirahisi...
 
kwani umeambiwa naandika majibu ya mtihani wa taifa,au unafanya kazi baraza la mitihani.

Acha ulimbukeni wewe usijifanye mjuaji wakati mbulumunda utachanganyaje x na s wewe? Halafu ulivyo ndezi unatetea ujinga wako ndio mana div 0 hazita isha kama mamburura uyenyewe ndio nyie.
 
Sio CPA tu ata acca ukiipata tu bila work experience sio kiashiria kwamba unapata kaz moja kwa moja...mtu awez kukuajir na cpa yako akulipe ghali while u have no experience at all... Apo ndio swala la kuvolunteer kweny firms linapokuja..at least wale ni waelewa they will be willing to teach compared to other institutions ambako unakuta hata senior accountant Hana cpa ... Once u have experience plus ur cpa there will be no one like u in the job market yan kila ukiaply unapata.. That's how it is!!
Aaaah wapi! Nina CPA since 2012 ila kazi siku hizi ni YOU KNOW WHO.? Ukiwa na vyeti afu una connects inakuwa rahisi, ila mivyeti humjui mtu utasaga lami na bahasha mpaka basi!
 
asilimia kubwa ya wanaoponda CPA ni wale ambao hawana. Hujiulizi kwanini Kuna wazee wengi unakuta mnapiga nao mtihani na wengine wamefanya zaidi ya mara 5. CPA in deal sana hasa ukikutana na Makampuni yanayoithamini kama auditing firm na Makampuni ya wazungu.
SOko la ajira limeingiliwa na kujuana na Mtu anaogopa mtu mwenye CPA maana wakikaa nae kidogo anaweza kuwakimbia.
Firm zipo zaidi ya 150,fanya mpango kipindi cha high season uende chache lazima utapata.
Aaaah wapi kampuni za wazungu siku hizi CPA uchafu tu, wanata ACCA, NA UWE UMESOMA UK,US,CANADA,RUSSIA HATA VHINA NA UMEFANYA KAZI MULTINATIONAL ZA NJE NDO MTAELEWANA UWE NA INTERNATIONAL EXPERIENCE SIO KAYUMBA AFU UNALETA USUMBUFU,
 
Aaaah wapi! Nina CPA since 2012 ila kazi siku hizi ni YOU KNOW WHO.? Ukiwa na vyeti afu una connects inakuwa rahisi, ila mivyeti humjui mtu utasaga lami na bahasha mpaka basi!
Mbona unakatisha watu tamaa
 
Aaaah wapi kampuni za wazungu siku hizi CPA uchafu tu, wanata ACCA, NA UWE UMESOMA UK,US,CANADA,RUSSIA HATA VHINA NA UMEFANYA KAZI MULTINATIONAL ZA NJE NDO MTAELEWANA UWE NA INTERNATIONAL EXPERIENCE SIO KAYUMBA AFU UNALETA USUMBUFU,

Hahahaha
 
Lara 1

You are right...know who matters these days..but honestly sijawai ona a Cpa plus 2-3 years experience aki hustle kutafuta kaz..May be kama unataka sehem flan flan like un,bot or us aid..wher u either have to be really competent or use the know who approach
 
ahh mkuu hata ofisi unayotaka kufanya kazi hupajui aisee...
Ernst&Young ipo along Ali hassan mwinyi road karibu na ubalozi wa Ufaransa,Deloitte na KPMG zipo PPF Tower floor ya 8 na 10 kama sijakosea,PWC ipo Oysterbay,RSM Ashvir ipo Golden Tower cjui ndo panaitwa but besides PPF Tower...zipo auditing firm nyingi,ili hizo ndo kubwa nnazozijua,

totoo upo vizuriiii,,gud gud
 
Aaaah wapi kampuni za wazungu siku hizi CPA uchafu tu, wanata ACCA, NA UWE UMESOMA UK,US,CANADA,RUSSIA HATA VHINA NA UMEFANYA KAZI MULTINATIONAL ZA NJE NDO MTAELEWANA UWE NA INTERNATIONAL EXPERIENCE SIO KAYUMBA AFU UNALETA USUMBUFU,

Uongo kuntu
 
Back
Top Bottom