Fatilia cv za mifinance director wa big telco na kampuni zingine uone kama kuna Kayumba uvhafu uchafu na vyuo vya kata!
Acha uboya kabebe boxi, utafute international experience hata dubai, Muscut huko ukirudi hapa CFO usipokuwa ujue umelogwa! NABII HAKUBALIKI NYUMBANI KWAO!
Majuzi MSD walikuwa wanatafuta mukulu mpya, wakampigia simu Muhaya mmoja US wakimbembeleza afanye application! Akatoa vigezo vizito mnoo ikiwemo kufanyiwa booking 5 star hotel, kulipiwa 1st class ili aje kwenye interview etc! All in all akasema HAWANA PESA YA KUMLIPA!
Jiulize watu wangapi wanaiabudu MSD na wanaomba Mungu wakonsidwe kwenye hilo jicheo? Na qualification za magamba zipo? HAWANA INTERNATIONAL EXPERIENCE WATALETA CHANGES GANI WAKATI WENYEWE KIEXPERIENCE KIMEISHIA POSTA.? WATA CONTRIBUTE NINI? ILITAKIWA MUHAYA KABYE PHARMACIA MBONGO NDANI YA US ASIEBEBA BOX, AJE ALETE CHANGES KWA EXPERIENCE YAKE YA UPHARMACIA HUKO KWA OBAMA, AJE AWAFUNDISHE WATU THE FUTURE!