Natafuta kazi ajira yoyote

Natafuta kazi ajira yoyote

Thingis

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2022
Posts
3,888
Reaction score
5,982
Habarini wadau kwema wote humu, natumaini wote wazima humu Mwenye changamoto yoyote ya kiafya MWENYEZI MUNGU ATASAIDIA.

Niende kwenye mada Moja kwa Moja wadau natafuta kazi ajira yoyote kama naweza kupata ata connection mnaweza kunipa, kazi ni kipimo cha utu, napatikana Musoma kwa wadau wa wilaya yangu mnishike mkono mdogo wenu Nina miaka 27 jinsia ya kiume.

MWENYEZI MUNGU AWABARIKI NYOTE, 🙏🙏
 
MWENYEZI MUNGU AWABARIKI NYOTE,
Ungekuwa Mwanza ningekusaidia maana kazi inakutaja uwe Mwanza. Mungu akupe wa kukushika mkono kijana.
 
Habarini wadau kwema wote humu, natumaini wote wazima humu Mwenye changamoto yoyote ya kiafya MWENYEZI MUNGU ATASAIDIA.

Niende kwenye mada Moja kwa Moja wadau natafuta kazi ajira yoyote kama naweza kupata ata connection mnaweza kunipa, kazi ni kipimo cha utu, napatikana Musoma kwa wadau wa wilaya yangu mnishike mkono mdogo wenu Nina miaka 27 jinsia ya kiume.

MWENYEZI MUNGU AWABARIKI NYOTE, 🙏🙏
Nicheki 0693 269 437
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom