Black Mann
Senior Member
- Jun 30, 2020
- 140
- 209
Mbeya sehemu gani hasa?vyote vinapatikana huku Mbeya
Habari ndugu zangu,
Naomba kwa anayejua mkoa naoweza kupata karanga nzuri zile kubwa kubwa kidogo, sio hizi ndogo ndogo (wakulima / wauzaji wanajua)
Pia, naomba kwa mtu anayeweza kujua zinakopatikana ndizi za kuiva zile ndogo ndogo
Karanga nataka zije dar!! naombeni bei elekezi kwa kilo
Hasara za kukomenti usingizini hizi.Karanga na ndizi za uhalisia au za tafsida???.
Mfano unaposema "Nzi wa kijani" kwa tafsida inajulikana ni Chama fulani kikongwe cha siasa.
Hasara za kukomenti usingizini hizi.
Kwan hauwezi kusoma hata uzi upo jukwaa lipi? Nshafahamu sasa kumbe una shida mahali,nilijua ni maruweruwe ya usingizi kumbe sio.Jibu lilikuwa litoke kwa mleta mada kwamba; ni karanga na ndizi halisi.
Wewe hujasikia akina dada wakisema; hawajazoea wao ni sungura hawajazoea maharage wamezoea karoti.--- hiyo ni tafsida.
Nenda kajifunze lugha.
Kwan hauwezi kusoma hata uzi upo jukwaa lipi? Nshafahamu sasa kumbe una shida mahali,nilijua ni maruweruwe ya usingizi kumbe sio.
Duh tusi lipi hilo?Sema umeanza matusi ???--- 😤
Duh tusi lipi hilo?
Shida ya kufikiri.Ipo kichwani mkuu.Unasema umeshatambua ninashida mahali, ni shida ipi na ni mahali gani??
Shida ya kufikiri.Ipo kichwani mkuu.
Sijui.Mtu mwenye shida ya kufikiri anaitwaje??
Drone Camera.Mtu anayesema "sijui" anaitwaje??