Je kahawa au migomba/ndizi?

kitoto wa vitoto

JF-Expert Member
Jul 28, 2019
360
386
Wakuu poleni na pilika za kutwa

Hongereni sana kwa kumaliza siku salama,

Naomba kuuliza ni wapi kuna mashamba ya bei rahisi yanayostawi kahawa na migomba?

Ambayo hayana ukame sana natamani nikifikisha miaka 35 au 40 niachane na kuajiriwa rasmi.

Kwa nini natafuta ya Bei rahisi?

N kwa sababu natamani kuchukua shamba kubwa kias mfano hekari 100 au 200

Naombeni mchango wenu wa mawazo.

Napokea ushauri pia karibuni sana
 
Moro patakufaa. Ola utspata interior sana.
Ingrluwa parachichi ningekuungsnishia Njombe kyna mtu ana hrka 150. Matunda na ranch. Ndizi zinastawi ika sio jama Mbarta au Moro.
Nakushsuri nunu arfhi ndogo fanya kilimo cha kisasa uwe karibu na soko.
Mie nilinunua shamba mbali nikifuata urahusu na maji. Usimamizi na uendelezaji umekuwa mgumu ukizingatia nipo kujitafuta. Sasa tafuta eneo unaloweza kufika na kusafitisha bidhaa yako kw wepesi.
Lilipo shamba langu ubaweza otesha kahawa, avokado nk ila ni km 30 kutoka lami.
Vile vile maeneo ya lipembe njombe ni kuzuri na ardhi kubwa ipo na mazao yote uliotaja yanastawi.
 
Naongezea kwamba zao la ndizi lina adapt sehemu nyi gi TZ kikubwa ni maji. Kahawa ni segemu za bardi tu.
Kg mwisho wa reli, Mby, Songwe, Mbinga, Njombe yote, Kilimanjaro, Kagera.
Tafuta hayo maeneo.
Njombe unaweza pata hizo heka 200 kwa laki 300 kwa heka. Mbozi sijui mbeya ardhi ni ghali haipungui laki 500 kwa heka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom