Asante sana Dad. Lakini kumbuka kuwa aulizaye sio lazima kwamba yu mjinga kabisa. Kuhusu utani...nadhani nimepita umri wa kufanya utani na mzaha katika maisha.
Dad, asante sana, maisha bila chachu sijui yangekuwaje. Nakubaliana na wewe 100%, ila ukitumia 'master mind' zaidi ya peke yako, usishangae utapata mawazo mengi na ajabu ambayo hungeweza kuyafikiria mwenyewe
mpaka sasa NGO yako iko na miaka 16, how is it going?Nakubali, i was just trying to respond with some chachu in it... lakini ndugu yangu si unajua wengine akina siye humu ni "much know"? All in all tuko pamoja sana tu.....
Mie nilianzisha yangu kama Trust Fund, ina miaka 3 sina hata income ya dollar 50!!
.....Dad🙂