Nyamsusa JB
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 567
- 1,565
Lishatumika ukiangalia Brela litafanana na business name nyingine.OTO PETROL STATION
GT PETROL STATIONLishatumika ukiangalia Brela litafanana na business name nyingine.
Great Petrol StationWadau habarini.
Ninatarajia kufungua Kituo Cha Mafuta, awali nililipenda jina la kituo liwe OTTO OIL Service Station. Nimeangalia Brela jina hili limeshatumiwa.
Nililipenda jina hilo la OTTO kwa sababu linashabihana sana na neno Auto, pia ni jepesi kulitamka na kulikariri pia. Pia herufi zake ni nyepesi na zinaonekana vizuri.
Nimejaribu kutafuta jina jingine lenye sifa kama nilivyotaja hapo juu bado sijapata, nimegoogle pia bado sijapat Idea nyingine.
Najua hapa ni kwa GT naweza pata Ideas ya jina la kituo cha mafuta yaani Fuel Station.
Atakefanikisha upatikanaji wa jina lenye sifa nilizotaja nitamzawadia kwa Ubunifu wake.
Natanguliza Shukrani zangu kwa yeyote atakaejishughulisha na hili.
Zuri buti hapa Mwanza kuna kituo kinatumia initials zinazofanana na NFS kwa kiasi kikubwa.Nyamsu Fuel Station (NFS).
Ndio kama hapa sasa, piga kazi tuone ubunifu wako.nipe kazi ya kuibrand kituo chetu cha mafuta mkuu
NYAMOILWadau habarini.
Ninatarajia kufungua Kituo Cha Mafuta, awali nililipenda jina la kituo liwe OTTO OIL Service Station. Nimeangalia Brela jina hili limeshatumiwa.
Nililipenda jina hilo la OTTO kwa sababu linashabihana sana na neno Auto, pia ni jepesi kulitamka na kulikariri pia. Pia herufi zake ni nyepesi na zinaonekana vizuri.
Nimejaribu kutafuta jina jingine lenye sifa kama nilivyotaja hapo juu bado sijapata, nimegoogle pia bado sijapat Idea nyingine.
Najua hapa ni kwa GT naweza pata Ideas ya jina la kituo cha mafuta yaani Fuel Station.
Atakefanikisha upatikanaji wa jina lenye sifa nilizotaja nitamzawadia kwa Ubunifu wake.
Natanguliza Shukrani zangu kwa yeyote atakaejishughulisha na hili.
Naona kama haitamkiki kiwepesi, na muonekano wa herufi sio mtamu pia haisound ki mafutamafuta au kigarigari. Yaani haleti connection fulani hivi na huduma.Kwann usitumie kifupisho cha majina yako matatu kama yanasound
SIJARIBIWI OIL STATIONWadau habarini.
Ninatarajia kufungua Kituo Cha Mafuta, awali nililipenda jina la kituo liwe OTTO OIL Service Station. Nimeangalia Brela jina hili limeshatumiwa.
Nililipenda jina hilo la OTTO kwa sababu linashabihana sana na neno Auto, pia ni jepesi kulitamka na kulikariri pia. Pia herufi zake ni nyepesi na zinaonekana vizuri.
Nimejaribu kutafuta jina jingine lenye sifa kama nilivyotaja hapo juu bado sijapata, nimegoogle pia bado sijapat Idea nyingine.
Najua hapa ni kwa GT naweza pata Ideas ya jina la kituo cha mafuta yaani Fuel Station.
Atakefanikisha upatikanaji wa jina lenye sifa nilizotaja nitamzawadia kwa Ubunifu wake.
Natanguliza Shukrani zangu kwa yeyote atakaejishughulisha na hili.
Hili refu sanaMagufuli fisadi wa kimya kimya petrol station
Jaribu "Good Oil Filling Station"Zuri buti hapa mwanza kuna kituo kinatumia initials zinazofanana na NFS kwa kiasi kikubwa.