Kwanza eleza unataka ubunge ili ukawafanyie nini watanzania??Ninacho hitaji: Kwanza ninaomba wana jm mnisaidie kuchagua jimbo kati ya hayo niliyo yaorozesha hapo juu. Pili ninaomba mnisaidie kuchagua chama ambacho mnadhani ninaweza kushinda kwa urahisi na bila matatizo . Mwisho Nimatumaini yangu kuwa mmtanipa maoni na ushauri ambao utapelekea mimi kuwa mbunge mwaka huu...
.....Mwisho
Nimatumaini yangu kuwa mmtanipa maoni na ushauri ambao utapelekea mimi kuwa mbunge mwaka huu...
Ninaitwa Bandora ni kijana niliye tayari kwa kulitumikia taifa langu....Baada ya kutafakari kwa mda mrefu juu ya namna ya kulitumikia taifa hili nikaona njia iliyo rahisi na wazi ni kupitia nafasi ya Ubunge.
Sababu kuu ni:
...Kwanza ninasifa zinazo takiwa kuwa mbunge.
...pili ni naamini ili kuwa mbuge huhitaji mtaji maana mbunge anachaguliwa na wananchi.
...Tatu ninaamini mwaka huu ni mwaka wa vijana kushika hatamu.
....Nne na mwisho mimi siyo fisadi wala sina historia hiyo na sitegemei kuwa fisadi.
Majimbo:Majimbo ninayo hitaji na ninayoona ninaweza kushinda bila kutumia fedha zozete ni:-
1.BUSANDA
2.ARUSHA MJINI
3.BUKOMBE
4.GEITA MJINI
5.KINONDONI
6.SENGEREMA
Ninacho hitaji:
Kwanza ninaomba wana jm mnisaidie kuchagua jimbo kati ya hayo niliyo yaorozesha hapo juu.
Pili ninaomba mnisaidie kuchagua chama ambacho mnadhani ninaweza kushinda kwa urahisi na bila matatizo .
Mwisho

Huyo jamaa ni sawa na kuku aliyekatika kichwa... Hajui asemacho, wala atakalo!
...Mwishoni niseme nime sikitika kusoma kwamba unaomba ushauri wa chama gani ugombee kita kacho kuwa rahisi zaidi kushinda nacho. That is wrong....
Umechelewa kwa hivi sasa itabidi ujiunge na moja kati ya vyama hivi Viwili CCM AU Chadema Kisha kujiunga na hicho chama kwa Ushauri wangu itabidi kwanza uwe Mwanachama Muaminifu Mzungumzaji Mzuri katika chama, na ujiandae kwa kugombea Ubunge sio kwa mwaka huu ungoje mpaka Mwaka 2015 ili wapate Wananchi kukujuwa vizuri kisha pia utueleze umesoma mpaka Darasa la ngapi?ulisha wahi kuwa Kiongozi kataka sehemu yoyote iwe ya kazini, au Shuleni? itabidi utowe ufafanuzi zaidi ili Watu wapate kukujuwa maana unataka kuingia Mambo ya Siasa na Siasa ni ngumu itabidi utakabiliwa na mambo magumu kuhusu Siasa na itabidi ukabiliane nayo kwa hali na Mali. na ikifika Wakati wa Uchaguzi itabidi ukagombea Sehemu ulikozaliwa ndio waweza kupata Ubunge Kiurahisi kwa sababu Sehemu ulipozaliwa wewe ndipo Wananchi wengi wanaokujuwa unaweza kupata kura nyingi katika Uchaguzi wa Ubunge unaotaka Huo ndio Ushauri wangu mimi mnasemaje wana JF Wenzangu?Ninaitwa Bandora ni kijana niliye tayari kwa kulitumikia taifa langu....Baada ya kutafakari kwa mda mrefu juu ya namna ya kulitumikia taifa hili nikaona njia iliyo rahisi na wazi ni kupitia nafasi ya Ubunge.
Sababu kuu ni:
...Kwanza ninasifa zinazo takiwa kuwa mbunge.
...pili ni naamini ili kuwa mbuge huhitaji mtaji maana mbunge anachaguliwa na wananchi.
...Tatu ninaamini mwaka huu ni mwaka wa vijana kushika hatamu.
....Nne na mwisho mimi siyo fisadi wala sina historia hiyo na sitegemei kuwa fisadi.
Majimbo:Majimbo ninayo hitaji na ninayoona ninaweza kushinda bila kutumia fedha zozete ni:-
1.BUSANDA
2.ARUSHA MJINI
3.BUKOMBE
4.GEITA MJINI
5.KINONDONI
6.SENGEREMA
Ninacho hitaji:
Kwanza ninaomba wana jm mnisaidie kuchagua jimbo kati ya hayo niliyo yaorozesha hapo juu.
Pili ninaomba mnisaidie kuchagua chama ambacho mnadhani ninaweza kushinda kwa urahisi na bila matatizo .
Mwisho
Nimatumaini yangu kuwa mmtanipa maoni na ushauri ambao utapelekea mimi kuwa mbunge mwaka huu...
Ninaitwa Bandora ni kijana niliye tayari kwa kulitumikia taifa langu....Baada ya kutafakari kwa mda mrefu juu ya namna ya kulitumikia taifa hili nikaona njia iliyo rahisi na wazi ni kupitia nafasi ya Ubunge.
Sababu kuu ni:
...Kwanza ninasifa zinazo takiwa kuwa mbunge.
...pili ni naamini ili kuwa mbuge huhitaji mtaji maana mbunge anachaguliwa na wananchi.
...Tatu ninaamini mwaka huu ni mwaka wa vijana kushika hatamu.
....Nne na mwisho mimi siyo fisadi wala sina historia hiyo na sitegemei kuwa fisadi.
Majimbo:Majimbo ninayo hitaji na ninayoona ninaweza kushinda bila kutumia fedha zozete ni:-
1.BUSANDA
2.ARUSHA MJINI
3.BUKOMBE
4.GEITA MJINI
5.KINONDONI
6.SENGEREMA
Ninacho hitaji:
Kwanza ninaomba wana jm mnisaidie kuchagua jimbo kati ya hayo niliyo yaorozesha hapo juu.
Pili ninaomba mnisaidie kuchagua chama ambacho mnadhani ninaweza kushinda kwa urahisi na bila matatizo .
Mwisho
Nimatumaini yangu kuwa mmtanipa maoni na ushauri ambao utapelekea mimi kuwa mbunge mwaka huu...
Majimbo:[/B]Majimbo ninayo hitaji na ninayoona ninaweza kushinda bila kutumia fedha zozete ni:-

]