Natafuta jiko la gas lenye plate 2 au 3 used.

magode

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2014
Posts
2,204
Reaction score
3,339
Wanajamvi
Salaam,
Nadhani wengi mtajiuliza kwa nn natafutia hapa wakati jiko zipo tele dukani. Jibu hela yangu ndogo,nimeshindwa kumudu bei ya dukani.

Hivyo mwenye nalo anifuate inbox tufanye biashara.
 
dukan sh. ngp
 
asaiv kuna ya mpaka 150k ya PINTECH ya kijapan ni noma unachoma/banika mpk nyama, ni imara na matumiz madogo ya ges
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom