Natafuta Inverter

GAMBLER

JF-Expert Member
Nov 22, 2009
303
11
Habari wakuu,
Naomba msaada wenu, wapi hapa Dar naweza kupata inverter ambayo angalau itaniwezesha kuwasha na kucharge laptop tu ili nikabiliane na mgao wa umeme, na pia nauliza kuwa battery ya gari size gani itatosha??
 
Unaweza kununua inverter ya wat 500 na ukanunua betri ya gari ya N70 and your done nenda maduka ya kariakoo utavipata vitu hivyo lakini inabidi u-plan jinsi gani uwe unachaji betri yako au you can buy two batterries, moja unachaji nyingine unatumia.
 
Nenda power Elecrtronics wapo SIDO makao makuu Utapata inverter ambayo itakuwa inakazi mbili yakwanza ni inverter kama invertter panapokuwa hamna Umeme na pili inabadilika kuwa charger umeme unapokuwepo halafu ni automatic so huna haja ya kusubiri mpaka umeme ukatike we uiwashe, Piga simu zifuatazo utawapata wahusika 0712093809 au 0774868215
 
Back
Top Bottom