Naomba nafasi ya internship kampuni yoyote ya manufacturing au service sector. Nimesoma bachelor of science in production and operation management

Peterkk

Member
May 8, 2020
37
43
Salaam,

Mimi ni kijana wa kiume mwenye Umri wa Miaka 25. Mwaka huu 2021 nimehitimu Bachelor of science in production and opertion managment chuo kikuu Mzumbe, lengo la thread hii ni kuomba nafasi ya internship or volunteering opportunity (paid or unpaid), katika kampuni yoyote ya Manufacturing au ya service.

Kazi nazoweza kufanya ni zifatazo:-

~Quality control

~Product design

~Process design

~Plant layout and location of facilities

~Production planning and control

~Material Managment.

Kiufupi sijabase kwenye ajira nahitaji experience na kujitrain zaidi kwenye Ayo mambo niliosomea au kati ya hizo, nafanya kazi kwenye managment position pia.
 
ulivyoandika apo juu sisi watu wa mechanical engineering tumevigusa
 
Back
Top Bottom