Lizy njuja
Member
- Jun 22, 2012
- 14
- 0
Habari....
Mimi ni kijana, nimemaliza degree yangu ya kwanza UDSM mwaka 2014, katika course ya bcom finance........
Naomba mnisaidie nafasi ya internship/ kazi ili niweze kupata uzoefu, maana makampun mengi wanataka watu wenye uzoefu na kazi!
Siku njema.