Information technology

curry_atomic

Member
Mar 30, 2020
57
48
Habarii mi ni muhitimu wa mwaka jana bachelor of science information system kwa sasa nimeamua kutafuta sehemu ya kufanya intern ili nipate work experience iweze nisaidia.....hivo nimekuja mbele yenu kwa yoyote mwenye nafasi au kuna sehemu anafahamu naweza pata nafasi anisaidie

Nipo na skills kwenye sehemu zifwatazo
1. Programming (Java,Php, JavaScript)
2.Farameworks(Laravel, spring boot,Spring security)
3.Front end library React.js
4.React native(mobile app)
5.Bootstramp,CSS, HTML

GitHub link hii unaweza kuona showcase za project zangu

Namba:0738886086

Kwa yoyote anaweza nisaidia maana nimekua nikitafuta bila mafanikio kwa sasa na sehemu niliopo kwa sasa nikienda ofisi nyingi wananiambia hawana idara za IT..... natanguliza shukranii
 
Mungu akutangulie kijana ila kwa ushauri tu embu ingia LinkedIn watafute Wakuu wa idara wa ICT Companies uwaombe internship chances kwanza in the process ya kujitolea tafuta connection za ajira mfano wa kampuni izo ni powercomputers, softnet, ICT solutions na Habari Node.

NB: Chonde Chonde usipeleke CV ukaiacha kwa sijui Secretary au msaidizi wewe nenda moja kwa moja kwa HR, Director au Mkuu wa idara 😎
 
Mungu akutangulie kijana ila kwa ushauri tu embu ingia LinkedIn watafute Wakuu wa idara wa ICT Companies uwaombe internship chances kwanza in the process ya kujitolea tafuta connection za ajira mfano wa kampuni izo ni powercomputers, softnet, ICT solutions na Habari Node.

NB: Chonde Chonde usipeleke CV ukaiacha kwa sijui Secretary au msaidizi wewe nenda moja kwa moja kwa HR, Director au Mkuu wa idara
Shukrani sana mkuu ngoja nilifanyie kazi hili pia
 
Habarii mi ni muhitimu wa mwaka jana bachelor of science information system kwa sasa nimeamua kutafuta sehemu ya kufanya intern ili nipate work experience iweze nisaidia.....hivo nimekuja mbele yenu kwa yoyote mwenye nafasi au kuna sehemu anafahamu naweza pata nafasi anisaidie

Nipo na skills kwenye sehemu zifwatazo
1. Programming (Java,Php, JavaScript)
2.Farameworks(Laravel, spring boot,Spring security)
3.Front end library React.js
4.React native(mobile app)
5.Bootstramp,CSS, HTML

GitHub link hii unaweza kuona showcase za project zangu

Namba:0738886086

Kwa yoyote anaweza nisaidia maana nimekua nikitafuta bila mafanikio kwa sasa na sehemu niliopo kwa sasa nikienda ofisi nyingi wananiambia hawana idara za IT..... natanguliza shukranii
Mkuu ila project zako hazina hata maelekezo bro, yaani ulikuwa unatumia kama kwenye drive
 
mkuu pambana na project zako ukiwekeza kwenye kusaka kazi utamaliza visigino
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom