Natafuta Incubator ya mafuta ya taa

Natafuta Incubator ya mafuta ya taa

Mulangila Mukuru

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2010
Posts
1,945
Reaction score
729
Wadau Salaam
Kama kuna anayefahamu nawezaje kupata incubator inayotumia mafuta ya taa anisaidie maana kwa hali ya umeme hapa nilipo unakatika hadi siku mbili matokeo yake mayai yanaharibika
Natanguliza shukrani
 
Wasiliana nami,naunda incubator za aina zote,za solar au mafuta ya taa.0784413039.ukiona sipatikani tuma meseji.
 
Tumia namba za simu kuuliza maswali yako,ni mara chache naingia jamii forum
 
Elrctrical and kerosene egg incubator
 

Attachments

  • 1456219861406.jpg
    1456219861406.jpg
    45.4 KB · Views: 124
Kufanya ujasiamari ni kuwa na roho ya kuthubutu,vinginevyo hutaweza lolote........
 
Back
Top Bottom