robbinhood
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 538
- 1,532
Asante Kwa ushauri KakaWee jamaa jifunze sales. Ukijifunza sales utatoboa vibaya mno.
Kuna software tayari ushaitengeneza. azakufikiria wateja wake ni kinanani, wanapatikana wapi, wanaweza kulipia kiasi gani na wewe utawafikiaje.Asante Kwa ushauri Kaka
Betting mkuuHabari wapambanaji wenzangu,
Natumai mko salama.
Naomba ushauri na mawazo yenu ya kibiashara. Mimi ni Full Stack Developer mwenye uzoefu wa kufanya/kushiriki project tofauti tofauti ndani na nnje ya nnchi, ikiwemo,
Mfumo wa PQCS(Process Quality Control System)– Kenya (AVA & ISUZU), Pia custom ERP system Kwa taasisi chache hapa nnchini .
kwa sasa natafuta business ideas ambazo naweza kuzigeuza kuwa software (system au service) itakayoweza kuingiza kipato cha kudumu.
Vilevile, niko wazi kwa partnership — kama una idea nzuri, unaweza kuileta tujadili, kisha nita-develop system
Karibuni sana 🙏,
PM ipo wazi pia
Asanteni.
Why sales?Wee jamaa jifunze sales. Ukijifunza sales utatoboa vibaya mno.
Sales ni lifeblood ya BiasharaWhy sales?
Noted thanksProperty management system
Ma'mdogoo mambo vipWee R, Mbona hatuambizani??
Noted thanks
Nipo najaribu kuipitia online, nipate general overview,Unqjuq PMS inatumika wapi?
Yep! Hiyo mifumo ni pes tupu... ukitulia na ukaweza kucustomize utakuwe bora sana finacialy, kuna jamaa hapa bongo wanaendesha app kama airbnb ya hotels za bongo hapa na bookingNipo najaribu kuipitia online, nipate general overview,
Yep! Hiyo mifumo ni pes tupu... ukitulia na ukaweza kucustomize utakuwe bora sana finacialy, kuna jamaa hapa bongo wanaendesha app kama airbnb ya hotels za bongo hapa na booking
Lakin wewe unatakiwa uwe na mfumo unaoishia katika operation level ya kitivo husika. Yan PMS
Ok proceedYaah hii nzuri kaka,
Nitalifanyia kazi ngoja nifanye research kidogo kwenye hili then, nitarudi
Allow me nikuje PM