Wana-JF,
Natafuta matank aina ya IBC. Nataka kununua hivyo naulizia upatikanaji wake na bei zake.
Niko Dar es Salaam. Mwenye kufahamu wapi nitapata haya matank ya IBC aniambie na pia nitayapata kwa bei gani.
Naambatanisha picha ya IBC tank.

Naona labda simtank yatakuwa na lifespan kubwa zaidi.
Ila mimi nayahitaji ma-tank haya IBC kwa ajili ya kazi maalum ya bustani za mboga, maana haya ma-tank ni rahisi kubebeka na yako tayari kutumika kwani tayari yana bomba la kutolea maji.
Ile 'housing' yake ya chuma inawezesha IBC tank kubebeka kwa urahisi sana kwenye shuguli za bustani.