edwin george JF-Expert Member Joined Aug 19, 2016 Posts 1,218 Reaction score 983 Dec 3, 2016 #21 Huyu ni kinyozi mzuri lakini pia ni mchoraji mzuri ndo iyo kazi unaiyona ivyo
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,577 Reaction score 46,982 Dec 3, 2016 #22 NZURI PESA said: ATAWEKA DAWA MKUU ZIWE KAMA ZA HUYO ILI KENGE AKUBALI Click to expand... Wakati wa mkwere tungefanya hizo mbwembwe sasa hivi hiyo dawa yenyewe watu wanatamani kuila....hali tete
NZURI PESA said: ATAWEKA DAWA MKUU ZIWE KAMA ZA HUYO ILI KENGE AKUBALI Click to expand... Wakati wa mkwere tungefanya hizo mbwembwe sasa hivi hiyo dawa yenyewe watu wanatamani kuila....hali tete
NZURI PESA JF-Expert Member Joined Mar 25, 2011 Posts 5,958 Reaction score 2,966 Dec 3, 2016 #23 Samaritan said: Wakati wa mkwere tungefanya hizo mbwembwe sasa hivi hiyo dawa yenyewe watu wanatamani kuila....hali tete Click to expand... hahahaaaa
Samaritan said: Wakati wa mkwere tungefanya hizo mbwembwe sasa hivi hiyo dawa yenyewe watu wanatamani kuila....hali tete Click to expand... hahahaaaa
ukhuty JF-Expert Member Joined Oct 9, 2016 Posts 16,905 Reaction score 42,074 Dec 3, 2016 #24 Samaritan said: Wee jamaaa wewe! Kipilipili kama changu unafikiri mamba au kenge atatokea? Huo mkia ulivyosimama ni unywele Huo mkuu Click to expand... Nimecheka daah
Samaritan said: Wee jamaaa wewe! Kipilipili kama changu unafikiri mamba au kenge atatokea? Huo mkia ulivyosimama ni unywele Huo mkuu Click to expand... Nimecheka daah
E esq Member Joined Nov 24, 2016 Posts 13 Reaction score 7 Dec 3, 2016 Thread starter #25 Omar Lugendo said: Kusuka je[emoji1][emoji1] Click to expand... . Ua nimelipenda sana.
DellaPina JF-Expert Member Joined Jun 19, 2016 Posts 1,026 Reaction score 3,519 Dec 4, 2016 #26 esq said: . Ua nimelipenda sana. Click to expand... Mkuu style hiyo uwapate watu wa cuba ni wataalam
N Ngarna JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 1,964 Reaction score 824 Dec 4, 2016 #27 Samaritan said: Wee jamaaa wewe! Kipilipili kama changu unafikiri mamba au kenge atatokea? Huo mkia ulivyosimama ni unywele Huo mkuu Click to expand... Nyoa staili inaitwa mbigiri kwa kipilipili zitafaa. Samaritan said: Kinyozi unaweza kumpata, kichwa na nywele za kunyoa hiyo style unavyo? Click to expand...
Samaritan said: Wee jamaaa wewe! Kipilipili kama changu unafikiri mamba au kenge atatokea? Huo mkia ulivyosimama ni unywele Huo mkuu Click to expand... Nyoa staili inaitwa mbigiri kwa kipilipili zitafaa. Samaritan said: Kinyozi unaweza kumpata, kichwa na nywele za kunyoa hiyo style unavyo? Click to expand...
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,577 Reaction score 46,982 Dec 4, 2016 #28 Ngarna said: Nyoa staili inaitwa mbigiri kwa kipilipili zitafaa. Click to expand... Wadau wanataka kitu crocodile
Ngarna said: Nyoa staili inaitwa mbigiri kwa kipilipili zitafaa. Click to expand... Wadau wanataka kitu crocodile