Natafuta huu wimbo

Darren2019

JF-Expert Member
Nov 23, 2019
1,112
2,379
Wadau mwenye kuufahamu wimbo ambao beat lake hutumika kwenye kipindi cha Njia panda Clouds fm msaada wa jina lake tafadhali.
 
Wewe ni nani Hadi uchoshe watu

Je,atakayefanikisha kupata huo wimbo ujira wake ni shilingi ngapi
 
Download app ya Shazam kisha subiri hicho kipindi, utawasha data halafu utasogeza simu yako kari bu na speaker itakuletea jina na aliyeimba. Usichoshe watu humu
 
Download app ya Shazam kisha subiri hicho kipindi, utawasha data halafu utasogeza simu yako kari bu na speaker itakuletea jina na aliyeimba. Usichoshe watu humu
Hujalazimishwa mkuu ungeweza kupita tu na usingeweza kuathirika vyovyote.
 
Hii hapa

Screenshot_2022-01-02-22-53-46-18.png
 
Back
Top Bottom