Natafuta HTC S620/1 (T-Mobile Dash)


M

MABAGHEE

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Messages
688
Likes
20
Points
35
M

MABAGHEE

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2010
688 20 35
Wandugu mlioko Taiwan na China au yeyote anayeweza kupata simu aina hizo au housing yake naomba tuwasiliane kwa mail mabaghee@yahoo.com. Simu yangu imeharibika housing (cover zake) nimejaribu kutafuta lakini sipati. Naomba mnisaidie.
 

Attachments:


Forum statistics

Threads 1,273,878
Members 490,535
Posts 30,494,804