natafuta house girl/msaidizi wa kazi za nyumbani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

natafuta house girl/msaidizi wa kazi za nyumbani

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Neytemu, Jan 12, 2011.

 1. N

  Neytemu Member

  #1
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Salaamu wakuu!

  Ninaishi Dar es Salaam,natafuta msaidizi wa kazi za nyumbani mwenye sifa zifuatazo;

  • Mwenye umri si chini ya miaka kumi na tano wala zaidi ya miaka 20
  • Anaejua kusoma na kuandika
  • Napendelea wa kutoka mkoani hasa mkoa wa Iringa
  • Awa smart na sharp
  Nitashukuru pia kama mnaweza kuniiunganisha na kampuni za wanaotoa huduma hizi
   
 2. Enny

  Enny JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Sema mshahara wako nikutafutie
   
 3. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,768
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 160
  Umri na status ya mtafutaji msaidizi plze!
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kwa nini unapendelea wa kutoka Iringa?

  au ndo wepesi kupunjika?
   
 5. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  definetely + inawezekana anaogopa wa kutoka Tanga mume atayumba!
   
 6. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  Mzaramo humtaki? yupo mmoja maeneo ya buguruni
   
 7. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Hata mi wa Tanga sishauri,mme wangu maji simuwekei,chai ya mdalasini hapati,udi sipulizi,kanga moja sivai..............ni kukaribisha tu ushindani na worries,huyo huyo wa Iringa,wa Kigoma wakijua mji utawachukia......all the best!
   
 8. s

  seniorita JF-Expert Member

  #8
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 674
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  15 is a child, ILO itakushtaki, it is against child rights....
   
 9. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #9
  Jan 13, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hahahaha lakini siku hizi ni ngumu kupata H/G toka Iringa wamekazana na kitabu sio kama zamani
   
 10. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #10
  Jan 13, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  kwa hayo usiyoyafanya kwa mumeo lazima anapata nje hata wakati wa luch, akiwa kazini.
   
 11. TATIANA

  TATIANA JF-Expert Member

  #11
  Jan 13, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 4,103
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  wacha kuturusha roho wajameni!
   
 12. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #12
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  unawatoto wangpi?unafamilia kubwa kiasi gani?
   
 13. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #13
  Jan 13, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  conduct intellijensi uone, lakini isiwe kama ya makamba you will end up dead yourself. humwekei mume maji, let say you have a shower but kwa orodha hii "...mme wangu maji simuwekei,chai ya mdalasini hapati,udi sipulizi,kanga moja". Hata kama unaishi angani, kuna mambo ya huko yanayorelate na haya ambayo mume na mke wanapaswa kutendeana......You are a very irresponsible wife.
   
 14. N

  Neytemu Member

  #14
  Jan 16, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sina watoto,familia watu 3
   
 15. N

  Neytemu Member

  #15
  Jan 16, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Utingo we una wife?we unafanya kazi nae pia?je uko hapa town home unatoka na kurudi saa ngapi?
   
 16. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #16
  Jan 17, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Taja mshahara nami sina ajira naweza kazi. Ila umri wangu uko juu kidogo nahisi tutaelewana,ikibidi tukatane mshahara 2% kwa kila mwaka wa umri utakaozidi. Ukinishort list utaninkubali kwenye interview. Ila nakushauri uchukue dodoma,iringa au singida maana najua hawasumbui sana!
   
 17. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #17
  Jan 17, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Check na watu wa Kilimanjaro wanapiga vizuri mzigo
   
 18. s

  shosti JF-Expert Member

  #18
  Jan 17, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Hivi ni uvivu au kitu gani,kwa nini kila mtu anatafuta msaidizi nashindwa kuelewa.
   
 19. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #19
  Jan 17, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  tatizo linakuja pale HG anapoamua kumsaidia mama kwa mzee
   
 20. s

  shosti JF-Expert Member

  #20
  Jan 17, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Wote huo uvivu tu
   
Loading...