wakuu naombeni msaada wa kupata hirizi ya simba hili niimeze na nipate nguvu kama za simba na uwezo wa kumpambana na wanaume 40.
kwa sababu kuna wajamaa fulani wamenizingua hapa mtaani sasa nataka niwamezee hirizi ya simba hili nikawakamue wote.
kama kuna anayefahamu jinsi ya kuipata anijuze haraka
Usihangaike kutafta ya smba! Wee meza nyongo ya tembo na alovera...watakukoma!!
Nyongo ya mamba ingemfaa zaidi.
Ndio hivyoMkuu Sibonike nasikia nyongo ya Mamba ni sumu moja kali sana,yaani inasemekana hata ukiimwaga kwenye mto basi watu au viumbe vinavyotumia maji hayo lazima vidhurike.
wakuu naombeni msaada wa kupata hirizi ya simba hili niimeze na nipate nguvu kama za simba na uwezo wa kumpambana na wanaume 40.
kwa sababu kuna wajamaa fulani wamenizingua hapa mtaani sasa nataka niwamezee hirizi ya simba hili nikawakamue wote.
kama kuna anayefahamu jinsi ya kuipata anijuze haraka
wakuu naombeni msaada wa kupata hirizi ya simba hili niimeze na nipate nguvu kama za simba na uwezo wa kumpambana na wanaume 40.
kwa sababu kuna wajamaa fulani wamenizingua hapa mtaani sasa nataka niwamezee hirizi ya simba hili nikawakamue wote.
kama kuna anayefahamu jinsi ya kuipata anijuze haraka
Mkuu Sibonike nasikia nyongo ya Mamba ni sumu moja kali sana,yaani inasemekana hata ukiimwaga kwenye mto basi watu au viumbe vinavyotumia maji hayo lazima vidhurike.