Joto Balaa
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 1,141
- 770
Umeshayapata? Mimi ninayo hapa kimara waweza nicheki nikupe bure tunipo dar mkuu asante sana
Umeshayapata? Mimi ninayo hapa kimara waweza nicheki nikupe bure tunipo dar mkuu asante sana
sijapata naombaUmeshayapata? Mimi ninayo hapa kimara waweza nicheki nikupe bure tu
Chura wa mazoezi anakuwa mgumu sana kama kitenesi(ukitembea haruki ruki) tofauti na orijino au yule wa dawa na sindanola kufanyia mazoezi ya chura
mkuu vile vyuma vya kupigia zoeziKama upo Arusha Mjini njo hapa Msikiti wa Bondeni kuna (Sport Shop)utapata izoExersise Ball ni Tsh65,000/ tu.
Ni pm kaka kwa bei nitakuulizia mimi sio muhusika kivile ila Dada yangu naye yupo hapo (sport shop)So unaweza ukaja private nikakufafanulia zaid kama utahitaji kweli according to my sister. Karibu Sana..mkuu vile vyuma vya kupigia zoezi
kilo mbili, tatu au tano(aina ile ambayo unaweza kukimbia nayo mkononi sina uhakika na huo uzito niliotaja) inaweza kuwa shi ngapi?
asante nitakutafuta.Ni pm kaka kwa bei nitakuulizia mimi sio muhusika kivile ila Dada yangu naye yupo hapo (sport shop)So unaweza ukaja private nikakufafanulia zaid kama utahitaji kweli according to my sister. Karibu Sana..
Karibu sana kakaasante nitakutafuta.
Hahahaha,aisee JF hatareeeeeeeeela kufanyia mazoezi ya chura