Natafuta hii pikipiki

fakenology

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2012
Messages
890
Points
250

fakenology

JF-Expert Member
Joined May 3, 2012
890 250
Kuna jamaa yangu anaitafuta hii pikipiki anataka kuinunua aina kama hii ila anataka iwe mpya.

Anayejua wakala wake hapa Tanzania tusaidiane anuani.

Brand name ya pikipiki hiyo ni SELFIR.
Hata kama kuna duka unalijua linauza nielekeze.

Tafadhali msaada!

PhotoEditor-20191102074329.jpeg
 

robert sendabishaka

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2015
Messages
2,221
Points
2,000

robert sendabishaka

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2015
2,221 2,000
Sasa kama pikipiki mpya tuu umekosa inapo uzwa ukihitaji spare je?
hapo chacha.

wengi wanakosea kufanya maamuzi sahihi linapokuja hitaji la vyombo vya usafiri. wanataka upekee, yaani mtaani awe unique bila kujiuliza hali ma gharama za matunzo.

dude unalipanda siku 20 likivunja hata gear lever unasaka miezi 5 likiwa ndani we unatembea kwa mguu kisa uliogopa usichekwe kununua 'yebo yebo'
 

Forum statistics

Threads 1,365,144
Members 521,117
Posts 33,338,137
Top