Natafuta hii ofisi.....

Natafuta hii ofisi.....

sulfametopyrazine

Senior Member
Joined
Apr 3, 2013
Posts
134
Reaction score
26
habar wana jf....juzi 2 niliibiwa simu yangu aina ya nexus5...cku install anti theft app yoyote..ila nikaambiwa unaweza uka2mia IMEI namba ya simu kumkamata mwizi wako na kuna wa2 wanafanya hizo kazi mitaa ya posta ila aliyeniambia hajui exact place..sasa km kuna m2 anajua hawa majamaa wanaofanya hio ishu wanapopatikana anijuze..jaman simu yangu inaniuma knoma....au kama kuna njia nyingine yoyote niko radhi nile nyasi ila simu yangu niipate....:A S embarassed:
 
hiyo issue ni ngumu, lakini inawezekana. kuwa mwangalifu, USILIPE KABLA YA HUDUMA.
 
Back
Top Bottom