Mkuu mimi nataka GX 110....
WanaJF natafuta gari aina ya GX 110 ya kumvua mtu....specifications
Inaweza kuwa how much? kma kuna picha nitashukuru....
- Low fuel consumption...
- Iwe imetembea km chache
- Hisiwe imetumika zaidi ya mwaka.....
Imeingia mwaka jana mwezi wa 9, km 84,000, ni PM nikupe bei![]()
Bollo Yang,
Kama una GX 100 ya kuanzia 1999 na kuendelea, injini 1G, PM me. You may make a business.
Of any colour? na una prefer GX100 Cresta au Mark II?
I want GX 110 OR 100....
mkuu verossa ni GX 110 with 1G engine kama ulikuwa hufaham