powersupply zipo pale mtaa wa likoma mkabala na KKKT kuna duka linaitwa kaale sema ni used. alternative cheki machinga complex.
kwa mpya nimeziona duka moja la wasomali uhuru na swahili kama unakuja congo linaangalizana na ile sheli sijui ya Total ile ya rangi nyekundu. sema wanauza 30,000 hio bei inaonesha ni za kichina.
una gpu tayari? Amd wana gpu mpya za RX550 hizi ni best kwa oem desktop za dell hp lenovo etc zinatumia watts 50 tu hivyo zinaingia almost desktop yoyote bila kuhitaji kueka power supply mpya na bei ni chini ya dola 100 na zina nguvu kushinda hata gtx 750ti.