Natafuta gold detector device

Natafuta gold detector device

bigmukolo

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
602
Reaction score
2,241
hello jf member natafuta kale ka kifaa ka kutafuia vikole vya dhahabu.mwenye info yoyote aiweke hapa
 
mkuu,kuna jamaa yangu alikuwa nayo akawa anauza, nilitangaza hapa jf, wadau wakazingua, kama upo serious, ngoja nimtafute kama bado anayo
 
mkuu,kuna jamaa yangu alikuwa nayo akawa anauza, nilitangaza hapa jf, wadau wakazingua, kama upo serious, ngoja nimtafute kama bado anayo

Bei ilikuwa shilling ngapi weka hapa hata mm nakitaka mkuu
 
Kinaitwa metal ditector.ni pm kam hujakipata bado
 
Sawa ni metal detector ila ni brand gani?
 
Back
Top Bottom