Zamazamani
JF-Expert Member
- Jun 13, 2008
- 1,903
- 831
Wakuu natafuta Warehouse kwa ajili ya kuhifadhi mbao kabla ya kuzi export nje....lisiwe nje saana ya Dar es Salaam,nafikiri Kibaha ndiyo maximum point toka city centre.Wenye ishu PM tafadhali
mkuu liko godown jet lumo kituo cha magenge,litakufaa?Wakuu natafuta Warehouse kwa ajili ya kuhifadhi mbao kabla ya kuzi export nje....lisiwe nje saana ya Dar es Salaam,nafikiri Kibaha ndiyo maximum point toka city centre.Wenye ishu PM tafadhali