Kwa nini usijaribu kucheki kwenye website yao kabisa MS, then u download. Na pia uchek na compatibility kabisa na mashine yako au unayotaka fanyia installation. Blög Sicä | Welcome to Blog Sica!!!
Unatumia tu,mie mbona natumia xp service park3 na ina dunda tu kwenye net?,cha maana una disable window automatic update!,na usi update chochote from microsoft!!!!
kaka kama unataka hiyo nitakupa namba ya Bill Gates maana he is the only guy under this sun aliyenayo... the rest ni-magumashi.... ahahaha... subiri nampigia kumwambia unataka ile original yake aangalie mambo ya copyrites yamekaaje... si unajua anaweza kuwa alisha-mrithisha mkewe melinda...ahahaha
Unatumia tu,mie mbona natumia xp service park3 na ina dunda tu kwenye net?,cha maana una disable window automatic update!,na usi update chochote from microsoft!!!!